Ouru aliiba kura last time. Hii inaonyesha kutoka kwa the irregular voter turn out pale 8/8. Hapa ameshikwa leo. Kabla mseme oo, ati RWNEBP, Ooo, it doesn't matter. Kitu ni, Ouru aliiba. Angalia voter turn out leo na votes za last time.
Acha niwapee evidence,
1. Marsabit iko na 141K voters, Ouru alipata 92K. Leo hata 10K hawajatokea.
2. Makueni iko 432K. Ouru alipata 27K,leo hakuna mutu
3. Kitui iko 474K. Ouru alipata 65K. Leo haitafika 5K.
4. Turkana iko 191K. Ouru alipata 62K. Leo ako na less than 5K.
5. Bungoma iko 559K. Ouru alipata 126K. Leo haifiki 30K.
6. Kakamega iko 773. Ouru alipata 62K. Leo hata 3K hapati.
7. Nyamira iko 278. Ouru alipata 106K. Leo hafiki 20K.
Mnaweza jitafutia spreadsheet wenyewe. Ama acha nijaribu kuupload. Team RWNEBP kujeni mtetee hii. Explain the phenomena.
@spear @gashwin @Nattydread @Meria Mata @Soprano @RWNBP