Overlapping craze in Kenya

Cheki hii tingatinga ya container, wish i had a gun. Would shoot his front tires.
[ATTACH=full]50607[/ATTACH]
@Da Vinci is this one yours?

Huku wapi kaka

Mikindani kwa kina @bjurmann

It makes me mad! Ni kama sisi wengine hatunanga wake na watoto wanatungoja

import haijafika?

Ama ndo uko kwa matt unaendea

Ka ni momo, chukua that tractor ya container ikubebee

Hata! Hii lazima iwe ya @kingolonde! Zangu ni Vanettes!

https://pbs.twimg.com/media/Col3CM3WYAUvVcw.jpg