Oya Gashwin i know u are in deep thoughts. Pole kwa Msiba Lmfaoooo

Leo ghasia ya takataka imepelekwa kichinjio mtu wangu.
Sema 4 - 0
[ATTACH=full]253582[/ATTACH]

For the very first time ule @gashwin ameenda kunywa pombe na man Lichoti to forget the ordeal.

BLACK OUT IKO KARIBU KULIA
[ATTACH=full]253583[/ATTACH]
Na asipochunga alafu achape black out hapo manze watamchota wampeleke guest room wamchunishe sukuma banae.
Lmfaoooo :D:D

Ndio hao suspects akina brownskin @M2Random na @uwesmake celebrating after kuona mzae ako karibu kubleki. Wameona nyama ya buree banae
[ATTACH=full]253584[/ATTACH]

Hio kichapo ilikuwa muoto… WAH!!

Kichapo cha mbwa

Lakini walijaribu. Ni lack of concentration alafu ule fala anaweka Kante nje. Kidogo naona anaingiza giroud…Hahaha

Meat so sweet like a rabbit.

Gashwin atawafanyia vitendo na gacui yake!

Humbwer

[MEDIA=twitter]1160624822340083713[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]1160626043465584640[/MEDIA]

Fimbo chapaaaaaaa arsenole here we kuom.

Mbona walibench kante ?

Utajua vijana vya ole mkipatana nao pale Emirates. Tutawalima mbaya Kwanza hiyo defence yenu inakaa shaky na leaky.

Jana Ni luck tu iliwasaidia Chelsea kupiga post tatu . manu is a shitty team

Hakuna luck hawa vijana huko Australia we were feeding them on horse food. Hio chakula inafanya vijana wakimbie teketeke.

Hivyo ndivyo tutawachunisha pale New Trafford.

hehehe. 3 days later mwalim hajapata sauti.

leo pia ni DFHKMBLBHNKN from the Klopp army.