Oyooo villegars wa tz

Niaje mazee?
Mmeshapata manzi ngapi za pale koinange?
Na githeri iko moto?

Manzi ya Naii iko na kiburi sana mazee ndo mana inapinganga mume zao

Kwani iko shida hapa? Mazee stima imekatika

dah hivi lugha gani inaongewa hapa

dah hivi lugha gani inaongewa hapa

Sijapata manzee juu manze wa kenya wana kaa na avatar kama akothee

Hii kenyatalk inaaza kunikaa kwa mukichwa

Kiswahili chonganishi

Kuelewa kiswahili ya kenya lazima uwe na safari saba kichwani

Hayo maneno yana maana gani?

Karibu ugenini new villager.ndio ujifunze lugha za huku ugenini

Asante, lakini pia niambie maana ya hayo maneno ili nipate kujua

Duuh,kupatwa kwa jf

Mimi mazeee manzi ya Nakuru inakosakosa kwa mtego wangu, ngoja niongeze juhudi inase

Githeri nadhani inaweza kuwa makande sio makende.

Ok kumbe ni makande!!!

Yaani hawa jamaa wanaharibu kiswahili aisee

Teh! Inabidi tuwazoee hivyohivyo.

Humu wote ni wanavijiji…

Cc: @Mahondaw

hapa mtaelewana wa watu wa ARUSHA TU