Pale ***.com

#1
Kuna miamaa aliishi kusema ..
Wasee wa pc wamezimiwa mneti
Mara watu wa mhindi hawaja mneti
Saa zingine.... .watu wacyber 10bob imekatika mtu akienda offline...
Madovah ama ameishiwa ni bundles...
Vile vile siku civil servants bado hawajaingia kwa mneti saa hizo ni kitu 5am time ya kwenu.
Yaani Alikuwa anawaonea wasee...


Sasa swali langu ni!..
Ako wapi?
Vipi labda alisota hawezi afford kubuy bundles za 100bob


Round 2.. za klost nisha kula dame fulani nani nani tuliye kuwa tunashare hiyo coomer naye....
... Nakam.
 
#11
hehehe back then bundles were expensive. Kwanza watu walikuwa klist 2004-2010 niko sure most walikuwa wanatumia Net za ofisi na Cyber
This is very, very, very true. I support since I am one of them, but God is good all the time- maisha ilinibadilikia......
 

Top