Pale roysa

Mimi masaa yangu ya kurecharge ikifika me hujitokeza tu pale kwa balcony naanza tu kuziseti(no TMI), zinaanza tu kushika tu pole pole ukiangalia view(akina githu), kaupepo kakicome unaanza tu kumeditate pole pole ukiskia tu vifiti lakini sa shida ni moja tu. Kila time nikiseti kuna this momo ata yeye hutokea kwa balcony hiyo flat opposite akiwa na towel anaanza kuniangalia na macho inajudge na hiyo story hainibambi viiile. Ama ni zangu zinashika sana? Wacha huyu MCA anafanya campaign apite na hizi kelele niendelee na hekaya.

weka hio avatar yako hapa kwanza tu safishe mecho

Usiposhikisha huyo momo hutokea?

hizi taksin wachieni alshababchieth

Wewe ni mlevi… dont blame weed here

djinni things

Kila time ukishikisha huyo momo anatoklesea?

Picha ya Momo,Towel,Balcony ukiseti ama anything to support this.

Next ata ni hekaya ya mechi mimi na yeye

Sitokeagi bila kushikisha

:D:D:D:D
Kuna thread mtu husoma hapa unacheka tu ukimagine how silly it is.

Who let stupid in?

Uliacha kuchomelea kirai siku izi…
Good for you

Nani anaelewa hii hekaya?

Halafu aketi hapahttps://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQ22boaYfix97-waPmoDRcJ32Qd2w3fD-k6l-3XRPtFUsEhLgbX na huyo momo

Your avatar is more interesting than your botched hekaya

Nani atapea NV kiti wakalie na momo yake :slight_smile:

:smiley: