@Pamba you need to represent us vizuri hapa

Ama mtasema ni Mboga ya wakumMbwa.

@pamba sema station yake niende nikafanyie makosa uko [ATTACH=full]260831[/ATTACH][ATTACH=full]260833[/ATTACH][ATTACH=full]260834[/ATTACH]

hapa OCS kama wote wame shakula slices. luwere

Huyo akikushika itabidi afunge mjuols pingu pia

Siezi shughulika na ngoko kama hii, madame ni wengi humu mtaani. Bona ukimbizane na serekali, utaumia tu

Atakufungua boot na risasi ya AK47. What would they write in your funeral programme?

Enda C. B. K police station utampata.

uuuuuiiiiiiiiiiii naendaa kurusha mawe na nijistaki Digi weko

Uko ndio naenda kushukisha bendera before firimbi ipigwe:cool:

@kah tony kuja uwambie mwenzetu Kuna vifo zingine zinakubalika na society

Bwana mkuu na siwewe ni kifagio bin kihato:D

You all know her salary cannot afford any of the after-work lifestyle pictured.

ata ni vile nlikua napitia pitia tu kwa iyo page yake pale kwa gram. Am a good guy uliza bibi 2

Ya:D

I frequent CBK na sijawai ona hii malaya

Nenda katafute miwani uncle. Umezoea kusafisha macho na nyangumi tu.

Hard tackle and the referee waves play on

:D:D cold as ice!