[ATTACH=full]246809[/ATTACH]
chokosh ni chokosh tu
Meria kujia beer Samba
niko kashani, landing hizo sides by 8pm
Panyaste, Wakanyama na Ile mongrel ya Kimilili sitambui made klost and ktalk to be home, admin peya wasito customized titles na sio tafasali.
Hamjakutana Kimilili heshima idumu?
Mongrel ilikwama kwa busaa kawangware stage two kwa madiaba.
Wakanyama sijaona any input ameweka kwa kijiji aprt from harufu yake ya changaa na busaaa
:D:D Ongea mbaya niambie mutyambai upelekwe u guard palace yangu kimilili
Uko tu hapa ama umekuwa shule Elder?
Niko tu, niliona nikienda nitaleta shida huko.
Ulikuwa klost kweli?
@The Real Bingwa Wakanyama leta kichwa yako
Hii bukusu sijui iko na laana ya wagisu.
:D:D:D
Bingwa uko na handles ngapi?
Hehe.hii moja tu. Bingwa wakanyama
Wewe ni Muteso wa Busia ama Malaba? Wateso ni bure sana.