Panyeste was right about watu wa ocha

How can a grown asss man idolize a celebrity mpaka asimamishe celeb kwa street for a selfie ama Kwa club amshe kinyambis pale amekaa alafu aende kwa booth ya DJ kupigwa photo.
Mutasema kila mtu ako na starehe yake na wajibambe lakini mimi naona hii ni plain gaay.
[ATTACH=full]390911[/ATTACH][ATTACH=full]390912[/ATTACH][ATTACH=full]390913[/ATTACH][ATTACH=full]390914[/ATTACH][ATTACH=full]390915[/ATTACH][ATTACH=full]390916[/ATTACH][ATTACH=full]390917[/ATTACH][ATTACH=full]390918[/ATTACH]

Selfies ata na mamba ni kawa…washenzi ni kukapost

Ama ni lanes haziambatani,you know Dj bunduki na calvin harris
[ATTACH=full]390960[/ATTACH]
Non of my bizines tho

Kila nyani na starehe zake

Our parents needed status, our generation is chasing clout

Mimi sioni shinda apo

Ongea kisapere tutaelewa tu

Cheza chini mujamaa