Umepigwa marufuku na basata
Nasikia Basata wamekanusha…
Ni kweli wamekanusha ila Roma na mwenzie wanazo barua. Awamu ya v-wonder
Lazima wakanushe wanajiona wako mbali na wananchi na chaguzi zinakuja
Hehehehe…awamu hii ni shida kubwa sana hawaoni kuwa wakipiga marufuku ndo watazidi kuupa umaarufu parapanda nimeona JF kule nyumbani Nyani analalamika hatari kubwa.
:D:D:D Jamaa wameua waliposema “Baraza lipo lakini wasanii wanakaa uwani”…
Pumbavu zaooo