Part 3:: hekaya za shule ::: dangerous spot Thika

remember Mr kiragu from nyacaba secondary school in juja ?
Yah Mr kiragu opted ashukie hapo gatitu junction a stretch miguu akijua Broadway secondary school iko wapi na pia ile kampuni hutengeneza sabuni ya bidco iko wapi…he also wanted to know ile kampuni ya soko ugali na ya maycorn iko wapi pia

That reminds me about maycorn, there was a time Mimi na Timo tuliwahi enda kuuliza kazi huko, tuli submit our credentials , good conduct and our testimonials and of coz ourselves…

the supervisor back then was a kamba called kioko, a short fella that seemed to know alot about how the company operates , how the night shifts operate, how many employees were hired n fired , in short alikuwa mtiaji so we had to be extra keen kuongea mob tusifitwe kazi , si wajua wakamba wakipewa cheo kidogo kwa kampuni.
.

[B] We were given the job , and what we didn’t know job ilikuwa Ni ngani. Tulienda tukapewa aprons , it was kitu 8am , then kioko asked us to follow him to the store …

Hi kazi iko hapa Ni ya wanaume , we knew Ni ya wanaume as we had already read the poster outside the gate “KAZI YA WANAUME AVAILABLE”.[/B]

[B] Kufika store lorry nne zile za Bayusuff refu zilikuwa zimefika na mzigo wa mahindi kutoka eldoret land of champions , I believe kila lorry ilikuwa na tonnes kadhaa za mahindi packed in 90kg bags … Wanaume walikuwa wanna offload ku offload… “Wanaume twende kazi”.

Timo ndiye alikuwa wa Kwanza kuwekelewa ngunia , ngunia ku land kwa mgongo Timo karibu avunjike vatabre columnae , yani spinal cord , ngunia iliangushwa mbuuu kwa mgongo , mtoto wa watu karibu a sink nayo on the cemented floor akanguka ikamlalalia …he was ascreaming before some heavy built luhya men came for his rescue, ikatolewa akapelekwa kando apumue .[/B]

“Macharia kuja” the loader called me .
I looked macharia Ni yupi anaitwa , but I was the only macharia amidst those Giants from bungoma offloading the maize.

Mimi kuwekelewa ngunia miguu ilitetemeka Ni Kama na dance hi style mpya ya innooss B ‘yope’ … Nikazunguka nayo naona ndunia iki spin , nikashidwa ama Niko kwa ile kitu ya showground inaitwa merry go round …msee Mimi pia nilianguka nayo , hapo ndipo tulifutiwa job…
we were employed for 1 hr hata hatukulipwa , our next stop was kiandutu general hospital kupewa pain killers na KALUMA ya uchungu…

Back to the hekaya.
Tulifikisha mtihani back to the return station , and on my way back to juja I received a call from a strange number…

tutaendelea kesho wacha niamshe makei

Io gunia ingekubonda tu unyurie hatungekuwa na ii shida yote hapa

Man you can write! you just need to be polished a bit. KUDOS!

He he he :D.

@Purple please ongea na @administrator we need a new section called Chieth and other stories for bonobos like @Macharia wa kamau to post there.

How many lives havu you lived macharia??? Kama uko around 30’s ile mambo umepitia i wonder what will become of you by age 50.

Have 10 lives like a cat

Kula like ingine.

I don’t think he is rubbish. His short stories are really good. Prob is when he starts attention seeking and I tend to think it comes with the writting gift.
All our hekayarists took sabbatical/gardening unathourised leave and begging them to come back can be tiresome bizna. Kwanini wanakataa na talent God given:mad:

Look at Tommy Lee, Nyarwath, Adeudiu, Kush mfatso, Meria, Kirwa, Nairobi Lay, and many others :saitan:

sawa mimi amesikia wewe tafadhali apana rusha mimi siberia kwa kuita star boy wa kijiji bonobo

What on earth is this Siberia I see Alpha men quacking about?:smiley:

And digi