Pastor mchunaji skuma

Wadau tuombee kaniza

Nimesoma Ati “Wadau tutombee kanisa” Salaaala! I think I should sleep now

Kama saa hii ndio wakati poa wa ku transfer pesa.Kesho payee anapiga kuuliza niaje…ukimwambia checki account anakwambia hakuna kitu…then unakumbuka ulitransfer ukionaga zako.
Nilijua sijui wakati.mmoja nilifanya hivyo…eQuity hawakuwachwa nyuma…walinifanya ni sign plain paper mbili wakiconfirm signature…aki what am i saying…nafaa nilale pia

Dunia isimame nishuke.

Hio ni demon inafanya akuwe stedi :smiley: viagra demon