Pastor tapeli

Kuna pastor hapa Mogadishu who is also our boss ame organise crusade ya 800k uko kenya na ana demand 30k from me na anataka nichukue emergency advance ni tume kwa account ya wife yake MTU kama uyo anaabiwaga nini ama ana fanywa nini hii ni tabia yake

Quote the Bible 2Corinthian 9-7

Mkuu

Dini is for the fools.

Niggaz will never learn!