pata potea

Status
Not open for further replies.

vic-tor

Senior Villager
#1
Hapo otc iko majamaa hucheza hii mchezo ya cards wamewekelea juu ya box.dont ever try to play.they let you win for a while and then they ripp you off.huezi toka hapo hadi pesa zote umeshinda zirudi.i lost my 500 bob there recently.
 
Status
Not open for further replies.

Top