Juzi nilikuwa na shida na hii kampuni ya Elon Mask. Hawa majama walikataa kufungua account yangu, wakajam kutuma SMS code na email code pia. Nikuwambia i had to convince landlord itatoka. Leo nimetumia another browser, mara nyingi mimi hutumia Chrome but niliamua nitumie firefox, and wajinga sent me code, sahii niko kwa moshi mbaya saana. Stoned to death
Attachments
-
51.5 KB Views: 0