Peasant Amefika Mwisho wa Lami sasa

Wakubwa Huku tumeamkia kubomolewa vibanda… Kama unajua ukunda vizuri… All the business sides za Naivas zimepigwo wembe… Sahii tukiongea ndio narudisha maremare zangu kejani… Kabiz nilianza Feb hata sjawai savings… So what’s the next step wale mmepitia shit Kama hii mlipenyaje?? Sasa sjui nitafute kibanda nianze tena… Ferk guys… Peasant amejam kwa uwezo wake kumimirwo

Nilicheki ubomozi umeanza hio south coast road yote, especially after kutoka sides za ferry. Kulikoni?

Pole bro… Mwanaume ni kuvumilia shida…

Pole sana buddy…, maisha lazima iendelee just look for another place and start again.

pole ndugu

pole lakini hungengoja mpaka tinga ikufikie.

Pole kaka. Start again and look for a spot that is not a road reserve

Iza bro.

Mwanaume ni kujikaza. Pole sana…

Any successful person will tell you, in life some things happen for a reason… You look at it as a handle you need to pass while aiming higher, the more handles you pass through the higher you succeed.

Pole bro, .I hope u managed to salvage your merchandize and ziko poa,…just scout for a new place and set up shop.

I think you mean hurdle.

Pole bro biz, take two, biz sio mchezo you need balls of steel and the perseverance of a termite anyway pull yourself together and start again.

Kwani hamjajua hiyo barabara ina hitaji expansion na nikitu imesemwa tokea Franklin Bett akiwa Minister of Roads? Piga moyo konde biashara itainuka tena.

Thank you very much. God bless you.

siku moja utakuwa place ukiambia watu “i had lost all hope n wanted to give up but…” andika iyo story real life

Mimi nilivunjiwa jana, leo niko pale pale tena, kawaida ya wakenya. Niliona wakirudi nyuma hapo Total to widen trenches ilinipa wasiwasi sana but aisuru we live to fight on, hawakunifikia

Serikal hapana cheza na squatters.

Iza bro

Wamedemolish Mum’s pia?