PEOPLE LIVING IN FEAR, SMALL THINGS CAUSE GUYS TO PANIC - NIGERIA VERSION

Status
Not open for further replies.

Sheeple

Village Elder
#1
So, my friend from Nigeria na ni muislamu alinishow vile alienda mosque maombi. Hio time, ma suicide bomber walikuwa wanajidetonate anytime in public ama maboko haram wanatoklezea kighafla bin vu na ma AK wanaanza kunyunyuzia watu mabullets na magrenade kiwestgate style na hawakuwa wanabagua kama ni church, mosque ama bus station so kila mnaijo alikuwa anakaa akiwa radar. Venye alifika mosque, hapo nje akapatana na mama akihawk manjugu kama ameziweka kwa basin metalic hivi alikuwa ameibeba kwa kichwa. Hio basin ikaanguka down kibahati mbaya ikatoa kelele kubwa ile ya bingili bingili, si mnajua ile sound hutoka kitu metalic kama sufuria ikianguka kwa floor ya simiti??? Beste yangu alijionea maajabu, wacha watu wenye walikua ndani ya mosque watoke mbio watu wanajaribu kukimbia hawawezi juu ya mshtuko wanabaki wakislide tu including the mwadhini mwenye alikua analead prayers. Huko nje nakwo, watu wenye hawakuwa kwa mosque walikua nje wakifanya shughuli zao na wengine kwa market venye waliskia hio bingli bingli hawakuwachwa nyuma, manduru na mastampede zenye zilikuwa kwa hako katown kao zilikuwa si tafadhali all just because of a stupid sufuria
 
Last edited:
Status
Not open for further replies.

Top