Perimeter Wall price 50x100

What’s the price of a good structural perimeter wall in a 50x100 plot?

Jipange na kitu kaa 300k ama 400k, depending material ziko mbali aje na gate ni design gani. Lakini @Randy ndiye anaeza ku kuchanua pia.

Kshs.200-250 at most, hio ingine ni kugongwa

Usiseme ni kugongwa juu mchanga haifanani. Kama unachimba mitaro kwa mchanga ya black cotton cost haiwezi kua same na place iko na soil ya red etc. Na pia inalingagana ma msee anaweka course ngapi down, na height pia.

:D:D:D:D kumbe wewe ni tree holder. hakuna dem anaweza ongea hivi

Boss even if you were to factor all these, the cost cannot be 400k for a 50*100 plot. Thats daylight robbery.

Sina mtree. Na usinifanye nijirudie tena! Kwanza saa hii nashuku niko na corona na nina nyesha sitaki stress.

Sawa

True, black cotton is s!ht…you have to dig until you reach hard rock for the pillars and it is costly.

Huyu mboch anakuambia ukweli…just simple maths;
Plot 50X100 = (15mts +30mts)×2 = 4,500ft all round.
Stones urefu ya 12ft standard + 3ft base X sh 50 per ft = sh 240,000/=.
Sand 2 CXZ = sh 100,000/=.
Ballast 1CXZ= sh 40,000/=.
Cement 100 = sh 60,000/=
Labour est. = sh 50,000/=
Total chezea sh 590,000/= give and take vile utakuliwa na foreman na transport, na wizi ya simiti.

Hii mazematics sijui mbona inanuka meffi.

Yep, the price is approximately 400 - 450k depending on the distance btwn the source of materials and site, labor, and the type of soil. Kama ni cotton soil that price might go up.
Labour alone is will not be less than 80k.

As you have been told above, budget for 400-500k depending on your location.

This a labour only bq a for 50 x 100 use it to negotiate labour…
[ATTACH=full]292418[/ATTACH]

Na aongeze kitu ya wakubwa wa area.

I wonder why Kenyans are yet to embrace DIY. I have saved considerably over the last five years by going DIY. From cars, basic plumbing, basic masonry and electricals. It ain’t rocket science, trust me. Mwanaume gani huyo hana tool box? Kuna wanaume hawana nyundo, screwdriver na panga. Ati pruning a single tree anaita kanda ya moko.

Somebody is drinking his own kool aid…:D:D

Hii story hunikatsia sana… Those kanjo fisis want to eat ata perimeter fence… Ndo maana kuna job ya Sunday with 10+ men… Kazi teke teke before they know it ukuta imestand…

Wewe wacha jokes :smiley: ati DIY Kwa perimeter wall. Hizo mitaro utachimba peke yako na koroga pia:D:D

:smiley: hapo ametry