pesa genje

So kuna hii day nilikuwa nimeishia ronga kuchapa deal flani. unfortunately deal ikauma njei manze. ikabaki niko disappointed. sasa nikaamua nirudi mtaani. nikapanda mat flani ilikuwa inalipisha 100 hadi tao. tukiwa ndani donda akaanza kuitisha ferare, kuna mzae aliprana rwabe brandy mpya kabisa. ni kama ilikuwa imetoka bank saa hio. na ukumbuke hii ilikuwa before hizi new generation currency zikuwe introduced. mzae kupeana rwabe akapewa soo flani manze imechapa niaje. soo yenyewe ilikuwa imezeeka, imebeat, imejikunja na ilikuwa imeshikanishwa na seal tape. mzae alikataa hiyo dooh akadai niaje apewe doo poa. donda akamuonyesha niaje hiyo pia ni dooh. mzae akanyam akamshow niaje nirudishie doo yangu nishuke donda akakwara. akamshow hakuna dooh anarudishiwa na kama anadai ashuke mat lakini dooh hapewi. mzae alileta noma jooh. kusema ukweli iyo soo enyewe ilikuwa imechoka yake yote. ni ile dooh ukieka kati kati ya vidole design madonda hueka, doo yenyewe itadunda chini peke yake design ya matiti za @Truman Capote. ilifika mahali wasee walianza ku support mzae apewe pesa inakaa afadhali bana. ilibaki donda amepeana soo inakaa afadhali bana juu alikuwa hadi ashaanza kushikwa mashati. mimi nilikuwa tu hapo kando nacheka tu.

Which talkersaid, unakuanga na akili punguani ? the best thing was to either shutthefuckup or intervene.

Kila mtu husema mnyama ni akili punguani

Bangi si chakula…‘Kambodia proverb’

Meffi