Pesa Kukosa Ladha

Wednesday niliwithdraw pesa kadha kutoka bank ati ni celebrate birthday hadi leo nimeshindwa kuzitumia. Sijui ni rudishe ama nini. Nani amewahi kuwa kwa situation kama hii yani umeshindwa na kutumia pesa zako ama kujitreat.

Tumia @Lecturer M M kakitu kwa mpesa. You will be of great help.

I think it’s part of getting into new levels of maturity. You sub conscious is probably hinting uitumie differently or hold on to it because shitt might go down.

mimi niko na a weird habit of collecting 50bob notes… zile mzee nazipiga pasi…[SIZE=2]feel like a drug lord[/SIZE]
The wife alipata where I stash them, akaniuliza kama me huuza mafuta ya taa…

Celebrating birthdays at 30+ years ni ujinga. I bet uko ama approaching hiyo age group. Vitu zingine kama birthdays and Christmas are meant to be enjoyed by kids. Kama ni pombe/pussy you can get it any time unataka thats why birthdays are no longer thaaat interesting. Its called hiting maturity hard!

this is how broke peasants reason…[SIZE=2]change my mind[/SIZE]

I’ve seen this comment on three threads now.

Can’t we now help him to find a steady job? I already know one talker who has been asking for his cv since he posted the thread but she’s yet to get it. @Lecturer M M did you already find something stable? If not, can you please share your cv so people can give you longterm assistance?

kwani bank yako ilikupatia zile 50 bills za traffic police

Broke paisan is an oxymoron.
Anyone with a peasant mentality is always broke

Sawa Baller. Go and buy those champagnes and pop them at the club as you celebrate your Birthday dancing along college students, ni starehe zako.

All I know ukifika miaka fulani, you celebrate milestones. New Land/house/Jobs/your kids birthdays etc. , na hapo ndio @Kihii Kiaganu amefika

get out of town, visit a new place!

We are Visa or MasterCard people… Kent relate.

:D:D:DDid this in college. But mine was for helping me to budget. Nilikuwa natoka na Ksh.400 per day so that I do not overspend mwezi ikuwe refu kushinda pesa.

me ningeuliza kama we hukamuliwa mkia for 50 bob…[SIZE=1]si kwa ubaya kizangila[/SIZE]

Ni maturity tu, last weekend i went out to treat myself but i ended up drinking only 3 beers nikaenda home kulala

That’s true hawataki kuona watu wakijibamba being a pauper like ReiredVirgin is not a joke

Hapo hakuna maturity… ni kufuata tu maagizo. Si watu wa EABL hua wanasema usipitishe chupa tatu kama unakunywa Allsops?? [SIZE=1]Sitasema ulikua unamix na Legend[/SIZE]

Shida yako ni kuwa mstingy hata to your own self. Tumia pesa na kesho kaunde zingine

Rich college kid. Sisi campus ukiwa na mia uko loaded.

At least this time ujipeleke java usahau Njogu Ini for a day.