Pesa ni root of all evil

Wasee watatu gauge mezani kwa bar flani, discussing ni wapi wanaeza toa ganji haraka. Kwa mbali kuna buda anawaskizia, pia yeye ako beer kaa ya tano, ashawakaribia, akawashow. “Nimekuwa nikiwaskiza na kufupisha story refu plus na giza pia inaingia, niko na map ya treasure, na kaa mnadai, kesho mkikuja mwende kwa hii mission special ya kucollect doe.” (Yaani collection ya devil). Si asubuhi watu wangu waliamkia barabara wakatrek, after 2hrs wakamake kufika bado 2 kilometres. Wakachukua break, juu walikuwa wanaskia kiu.

Wakahitaji maji, nani ataendea? Hakuna wa kujitolea, hawaaminiani. Mmoja ashakubali kuendea kwa shop soda, akiendea, hao wengine walichora akicome watamgonga adie, wakule ile doe pamoja.

Meanwhile, akiwa kwa shop, alipoison soda zao ndio akule ile doe solo. Alirudi, wakamgonga, akadie lakini juu pia solar ilikuwa ilikuwa imechoma, pia hao walikuwa wanaskia kiu. Wakakunywa zile soda.

Hakuna mtu alicollect ile doe, wote walidie, juu tamaa ya pesa ndio root of all evil.

Inanikumbusha hekaya za Abunwasi

Pesa mingi ni nuks heheh

inakaa nyanyako lazima angekuhadithia Kabla ulale

Upiss

uyu ni uhii, kahura ndogo gaka

tamaa iliua fisi

I heard this when crossing the River Ganges kwa akina @ranjeet

I thought imeandikwa Na NV

I choose not to say anything VE

Peleka hii hekaya nursery

Mtaka yore hukosa yore

Village elder unatuangusha wacha non villagers kama sisi waanze na kupost hii moshene.hii porojo yako niliona kwa afro sinema juzi

That is demon work,destroyer.

looks a story ya pace setter story book for kids.