Pesa sio yangu kwa equity bank Part Two

Wakubwa si juzi juzi mnakumbuka I told you vile nilipata pesa kwa account na sio yangu nikaenda nikatoa pale Equity Bank. Sasa roundi hii kanakaa kamenuka. It’s been a month hivi na jamaa wa bank hawaachi kupiga simu. Bank iko negative balance though I have been receiving some payments through it lakini wamekuwa wakikata kwa hiyo negative balance.
Sasa wadau hawa jamaa naona wametafuta my next of kin wamewaeleza hiyo stori wakidai sichukui simu na nilitoa pesa sio yangu. Mnaonaje hii stori? Itakuwa noma ama niendelee kukaa ngumu? Pesa nilishakula na kaburotiii maguta maguta.

  1. Is there any legal means the bank can use to force me to repay this amount?
  2. Should I keep ignoring these calls ama nichukue tuongee?
5 Likes

utajua hujui my friend

1 Like

Hii shida kuna msenge mwingine pia alikua nayo, akuje asaidike

Mwishowe utalipa na si kwa tafadhali

2 Likes

first things first, you technically didnt steal from them

am assuming that you notified them about the unknown cash credit to your account, if you did, then just walk in there like a boss and tell them to consider that amount an overdraft against which they should give you a payment plan.

5 Likes

nakumbuka hapa uliambiwa vizuuuuuri utakujiwa usitumie hio pesa.utajua haujui

1 Like

Utajua kuna anti-banking fraud unit.

1 Like

Hamnitishi sana. Lawyer ansema nitulie as far as hakuna fraud. Ni kama tu maneno ya mpesa sent to wrong number.

4 Likes

Sikudefraud bank at all. Nilipata pesa nikatumia. I never solicited or used fraudulent means to get these funds. Ndio maana bank hawajatuma demand letter.

4 Likes

Just keep us updated! Lakini mimi naona uko poa!

Cha mkufuu mwanafuu ha na akila hu, cha mwanafuu mkufuu hu na akila ha.

Or this does not apply here?

5 Likes

Hapa my friend kuna Managers (read @uwesmake ) Wa Equity. They are reading this.

5 Likes

They can’t touch you. Ungefunga hiyo account after the withdrawal. Then they wouldn’t have debited the a/c to negative balance or had a chance to list you in the CRB.

1 Like

There is nothing they can do to you. Ata crb ni ngumu- you did not default anything. You say you normally receive payments through that account?
Wacha wakatange huko. Infact sijui why you are not picking their calls. Chukua simu uskie wanataka nini. They will of course threaten you with all
kinds of shit. Kikiumana agree with them how much you will be paying back but DO NOT sign anything. Agree over the phone.

7 Likes

Kula hu applies

Hapo wao ndio walikuwa exposed.

Lakini mbona ukatumia pesa sio yako!

Kanyangia kidogo but be looking for a plot buyer

send your lawyer to argue a repayment plan.

buda boss!!! utajipata CRB. najua two guys with such cases. vile walijipata CRB walijua hawajui:D:D

utatumia more on lawyers,just walk to their premises and agree on a plan.

3 Likes