Pesa ya shamba

[SIZE=6] man commits suicide after spending land money on women

Is it true that hii pesa huwa iko na kasoro flani juzi kuna politician pesa yake 10 m ilizama ati alikua promised direct nomination,mwingine juzi sijui alikua ana kua sued juu ya 45 m , is this true hii pesa iko na shida[/SIZE]

Ukiuza shamba nunua ingine. But if you try using that money on other things, ole wako.

Pesa haina shida. Ni mtu haoni mambo vizuri. Kama umekua umefinyika alafu upate some cash, many guys loose their cool. “Mtajua mimi ni nani” mentality takes over. Pombe, madame, vitisho, maringo na vitu zingine alikua amemiss.

NA MAHARI ya dada yako kwa hiyo mix…

Lete hekaya

Pesa ya shamba ya inheritance iko na laana, remember you hold that land in trust for coming generations. Uza nunua shamba hence appeasing your Forefathers

Once you get that kind of money you become temporary insane so you spend it to get back to normally what you are used too.My two sense\cents…whichever.

Hakuna mtu ameuza shamba hapa atuletee hekaya

Labda @gashwin, kuna hekaya.

Labda tungoje ya mahari

Nimewahi uza shamba but sio ya inheritance. Nilinunua shamba ingine bila kuambiwa. Never again…unless I have a concrete plan.

Labda ile mulunje mjinga.

Hapa ndio hiyo age yako yenye wewe husema huwekewa question mark.
When did you do all that, ukiwa under 18?

Kuna mzae fulani neiba yangu (after retire) alikata a piece of his land akaiuza mita kadhaa ndio aingie kwa kilimo. After about a month mzae alijikata akiwa usingizini, another month after his departure ng`ombe alikua amenunua za maziwa pia zikamfuata. Hapo ndio nilijua pia @jumabekavu hatakangi ujinga.

Wapi Gachoka? Huyo ndio ana hekaya

your old folks walijinyima raha,kama ni ugonjwa ama shule wakiwa bila float wakafanya harambee then wewe udispose hio shamba ukae vizuri…hapo ndio unaskia thiiiitima.

Boss…sio kila mtu hukuwa sufferer. I am approaching 26 yrs. Shamba yangu ya kwanza nilibuy nikiwa 22yrs my fren. Who said that you have to be found mashos age to buy some things. Inadepend na hustle zako kasee…small town, small life and vice versa.

@Kana Kega come here:

I sold some piece of land I inherited and all of a sudden I find myself having more money than I could have ever imagined. Staki kuiblow yote kwa madame (which is currently what i’m doing ) ama kwa hizi get-rich-quick schemes (watu wa car-hire, car wash na GNLD ketini pale-------->)
I’m here soliciting for genuine ideas which will help me multiply my new found wealth. I’ll even consider taking on board the person who’s idea I consider most practical and/or sustainable. Haya basi ndugu zanguni, twende kazi!

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/10-million-reasons-why-i-need-advice.38542/

Wacha nikujibu style ya Bingwa.
I was born in Pumwani. So? Small town??

Then you should be wiser. Kukuwa na shamba is not a matter of age