"Pesa za Ruto"

#1
ok..so morning nikapitia kwa mse wangu wa njumu..na juu leo ilikuwa nimedunga swed,ikabidi nimekaa longer hapo akizipanguza..Now katika ile small talk kuna kitu ametaja..ati.."na wewe unaeza taka hii pesa ya ruto?".. nikauliza gani?.....na hapo ndio uhondo nikapewa..

Ati jana yeye akienda home,aliamua kupitia kusalimia a friend izo side za kiambio..kufika akapata group ya his fellow church members...yeye huenda ile church ya walunje ya "african divine" aka divai..Huyo friend yake ni elder wa hiyo church and what he was doing ni ati alikuwa anaandikisha watu majina alongside na ile pesa unaeza taka to start a business..and guess nani anapeana iyo pesa....yeah you guessed right.

He tells me ruto amemwagia hiyo church doh ata amewabuyia bus ya church..so members ni wapeane details alafu cash italetwa.Terms za kulipa ni ivo tu flat bila interest yoyote.And just like that,ameconclude na kuniambia ati ruto ni mtu wa watu sana,na akiendelea hivo hii kiti ataget 2022.ati watu wote wa "difai" wako nyuma ya WSR.

Swali:yaani bado watu wako gullible namna hii?na kwani hii pesa ni mingi aje kwa matress?seems CBK knew something we didn't
 

HAKI YANGU

Village Elder
#9
Sielewi ......Ruto anataka only population ya Christian wampigie na je muslims.

Mbona asiende kwa mosque ama walikata pesa ya
Tender
 
Top