"Pesa za Ruto"

ok…so morning nikapitia kwa mse wangu wa njumu…na juu leo ilikuwa nimedunga swed,ikabidi nimekaa longer hapo akizipanguza…Now katika ile small talk kuna kitu ametaja…ati…“na wewe unaeza taka hii pesa ya ruto?”… nikauliza gani?..na hapo ndio uhondo nikapewa…

Ati jana yeye akienda home,aliamua kupitia kusalimia a friend izo side za kiambio…kufika akapata group ya his fellow church members…yeye huenda ile church ya walunje ya “african divine” aka divai…Huyo friend yake ni elder wa hiyo church and what he was doing ni ati alikuwa anaandikisha watu majina alongside na ile pesa unaeza taka to start a business…and guess nani anapeana iyo pesa…yeah you guessed right.

He tells me ruto amemwagia hiyo church doh ata amewabuyia bus ya church…so members ni wapeane details alafu cash italetwa.Terms za kulipa ni ivo tu flat bila interest yoyote.And just like that,ameconclude na kuniambia ati ruto ni mtu wa watu sana,na akiendelea hivo hii kiti ataget 2022.ati watu wote wa “difai” wako nyuma ya WSR.

Swali:yaani bado watu wako gullible namna hii?na kwani hii pesa ni mingi aje kwa matress?seems CBK knew something we didn’t

Loot all amesahau wakenya ni wale wale. Watakula wakiendaga. Na hiyo pesa haitalipwa.
Hii story pia ni ya kukaangwa pale karumaide usitubebe hivo.

Ata mimi Luto akinipa 500k nahitaji kwa ghafla nitakuwa sychophant wake mbaya mbofu.Ata kuliko Murkomeno

wewe ndo uko gullible. you know how uhuru has messed the economy. Halafu anavalia ngozi ya kondoo anasema Ruto ni chui. If you are not behind Ruto you are behind Uhuru, because you got only two choices. I choose Ruto over Uhuru. Wote ni wezi so wizi sio basis ya kuchagua, nimetumia factors zengine

Pia mimi nataka. I can willingly sell my vote to the highest bidder provided sitapanga laini kupigia manugu kura

Niliwai kula pesa ya sonko

Ruto pesa yake he has been spending whenever he goes to those sparsely populated areas huwa ananunulia vijana motor bikes

Ilikuwa ni pesa yako ile imeibiwa

Sielewi …Ruto anataka only population ya Christian wampigie na je muslims.

Mbona asiende kwa mosque ama walikata pesa ya
Tender

Atarudi kwa wagiriama wamvalishe kale kakofia[ATTACH=full]246763[/ATTACH][ATTACH=full]246764[/ATTACH]

How much?
Pesa ya politician nimekula ni 200 ya MCA pekee. Na aliloose. 2022 kama nitakuwa naweka target 10k at least plus niuze kura