18+ Pesh.nani amekula hii kunguru..

#20
unapelekeaje mama yako msichana ako na tattoo ati unataka kuoa?

@Finest wine wewe kama mama Essien, Essien akikuletea msichana ako na tattoo kwa miguu utakubali?
Apana siwes kubali. Essien and his bro wako na shida kubwa sana. Baba yao hapendangi uyinga so zile ma RKO zinawangonja itabidi nihame:D. He was 'giving' them a haircut the other day wakanzaa kulia. He said 'ngumuhura mumwo ni mbia (rats) mutwe'. Mazee walikimia kiiiii na nikatoroka.:D
Tusichana saa hii tunaletewa na resident teen nephew twa kutoka Latino land. He told us he can only date from that side of the world. ?????? at 18.
Lakini, I vet them kiasi and let him know my views on bahalf of his parents. No tatoos and no attitude. Napenda kale tumeletewa often...country of origin...Equador.
Ango mimi naona usinitembelee soon....eeeeeh.... vile naona sababu huyo older nephew mwingine who visits us often only dates mixed race girls. I don't like his choices but hey....naona unaweza hit on some of them...na vile they like the black joystick.....:D

I digressed. Tatoo hatutakii na iwekwe where we cannot see. End of.
 

Top