Petition Against CJ Maraga

http://gadocartoons.com/wp-content/uploads/2017/09/Sept-17-17-Petition-Against-CJ-Maraga-1024x721.jpg

The post Petition Against CJ Maraga appeared first on Gado.

Continue reading…

6 Likes

Ngunjiri Wambugu has offically been depicted as a cockroach. hana bahati. Shedding this depiction si rahisi, aulize Ruto, hiyo kitambaa ya Singh imekataa kutoka. :smiley:

13 Likes

Huyu gado ni talker. On a vile petition imechorwa.

9 Likes

Apollo Mboya filled a similar petishen

Just like Herpes, He has to carry that image whenever he goes.

5 Likes

Ngujiri is Maraga’s ass maggot

Duh?

‘not even a nuclear bomb will deter him’

Ni Electronics4u ndiye huandika hivo, that style of writing is his.

Gado ameanza kuita watu cockroach kama interahamwe?

Hehehe petishen. Hiyo ni ya hapa hapa tu.

Na Kalonzo ni chamillionaire hehe

1 Like

:D:D hiyo yake ndio imekwama kabisa

Lakini ile huniua ni ya civil servants kuchorwa na hollow skulls :smiley:

1 Like

I noticed too

Lucky thing is they are all from the same ethnic group, otherwise, if any of them would be from an “opposing” ethnic group, your assertion ingekua headline

Jeso! @vic-tor next tutaskia ukiandika uko meffi edishen