Phone charger

Brianmwas

Village Elder
#1
Hey y'all. So nimenunua one of this extensios zenye huwa na usb ports about a month and a half ago. Ilikuwa poa until 2weeks ago. Ilianza kutoa charge kwa simu instead ya kuingiza. First nilifikiria ni cable. Nikajaribu kutumia 'kichwa' ya charger ikiwa fiti, pia lappy inaingiza poa sana.
Shida ya hii extension inaweza kuwa gani??
 
The brave

Village Elder
#2

How much did it cost? Why can't you just throw the faulty one away and buy another? :D:D:D:D
 
Top