Phone charger

Hey y’all. So nimenunua one of this extensios zenye huwa na usb ports about a month and a half ago. Ilikuwa poa until 2weeks ago. Ilianza kutoa charge kwa simu instead ya kuingiza. First nilifikiria ni cable. Nikajaribu kutumia ‘kichwa’ ya charger ikiwa fiti, pia lappy inaingiza poa sana.
Shida ya hii extension inaweza kuwa gani??

How much did it cost? Why can’t you just throw the faulty one away and buy another? :D:D:D:D

Nunuanga brand zinatambulika. Inakaa wewe ni ule wa SAMSAM, FILIPS na SQNY

wacha ku charge simu ziko na charge

https://photos.travelblog.org/Photos/23774/93408/f/738140-Walking-through-the-garbage-in-Kibera-0.jpg

@Electronics4u wachanga kugonga talkers.

Nilibuy 1100 so kuitupa inaniuma

Shida si simu.

infinix battalion inaeza kusaidia sisi watu wa kabambe hatujaikua na hizo shida

Shida si simu. Shida ni extension

bra bra bra… nimesema whatever the ferk ask infinix guys… nugu

Sasa unataka tukupe tutorial ya kutengeneza cable. Noogle:D:D

Brian Mwangi unasumbua

Oh SNAP!!:D:D