PICKPOCKETERS

These mathaferckers just got me for the first time…
damn it and am traveling…
i feel like i lost a kidney…

cc @snapdragon

Wapi hapo…naona tao ndo mvua inataka kuosha watu…this is their harvest time

roysambu…
I’ve never felt like this… but f**k it everyone has a first time

Pole sana those are Dandora imports

pole lakini usinunue mahindi kwa barabara kama unapiga selfie bado wataiba mpaka makende

mimi huweka wallet na simu mfuko za mbele mahali zinagongana na makende naziskia zikiwa . Upuzi ya lazima mtu aweke wallet back pocket ilitoka wapi ? naonanga its easier kuibiwa wallet mfuko ya nyuma kuliko ya mbele .

wamechukua tu pesa simu na lapi zilikuwa unreachable lokashen…
but atleast i don’t put all my money in one pocket…
shiet i thought i was unpickable…

wametoa mfuko ya mbele… ma-protege wa @snapdragon

Hahaha ilikua kwa gari…hao sio picpockers they just played their game right

very lucky sasa pesa sio shida kuenda but hizo simu zingeenda na lapi ungeitana

hehe pole kaka no one is immune. You just take precautions lakini wakija wamekuja na mtu hupatwa when he is not even thinking of that possibility

You should be glad you’ve been pickpocketed… How do we explain those people who just give out their handsets, cash, goodies etc and realise later when the mwizi has gone away…??!
BTW, what do those thieves give people?? Normally they are controlled like robots:eek:

Ukue unatembeana kama umevaa t-sho imeandikwa “I love Kenyatalk” ndio snapdragon akikuona kwa umbali anahurumia mwanakijiji mwenzake.

Khocha kwa siku izi pia wewe hupanda Nganya? what happened to X6 na PRADO?

my deer naomba nikunyonye navel .

Ukitaka kuseti benje mbosho ya manyu, iweke ikiwa vertical. As in ata wewe ukitaka kuitoa ni struggle kiplani. Hawa vijana wakiona lazy watashine

omwami ata Anita Nderu anapanda mat bana na sponsor alimnunulia Prado . lazima ni mingle na wananchi banaaaaaa

scopolamine…
don’t ask how i know that…

BOSS UMEONGEA LUGHA GANI ? with the help of diagrams ni translatie chenye umesema .

Excuse me… Am curious :rolleyes: