pigwa shoka

The song is very catchy tukubaliane lakini feminists washa anza kunukisha mdomo.

Furk! The threshold of what music is no longer exists.

That song is whack lyrically and in any other way.

Hiyo ngoma ni kali, hiyo tune bado iko kwa kichwa haitoki. Too sad sheddy gang waliingiza baridi wakaitoa youtube. But it was too late anyway. Ishaingia kwa playlist. Hapana tambua Ezekiel Mutua.

Wacha georgina makende akuje hapa apige kelele

[ATTACH=full]236566[/ATTACH]

Nimeitafuta nikasikiza na nikaona ni takataka. Hata kama ni uhuru wa kusema hiyo hapana. Hiyo ni ujinga hatari.

what i dont understand is hawa wasichana wanatwerk hapo,hawaelewi lyrics ni against them au ni desperate kutokea kwa vida?

No one gives a fuck about that in this day and age

Niliwachezea madame kadhaa hiyo nyimbo kwa sababu walikuwa hawajaisikia mmoja wao akaji excuse ili kuenda kulia. Tf?