pinkies though

Pinkies if you like a guy would you tell it to him??

Huku mtaani kuna situation ilihappen na ilifanya madame wawili wakosane vibaya sana juu ya machali. So there’s Precious and Claudia; the two were best friends ile tight kabisa. Hawa ndo wale hujiita BFFs. So kuna boyz flani alihamia ile esto sisi hustay anajiita Mathew. Mathew ni wale maboy rangi ya thao mi huchukia hao maboy juu wanatumianga rangi yao to their advantage wakichuna madame wote mtu ka mimi inabaki nimepita na makunguru dryspell ikigonga sana naamua kusafishia rungu huko rico.

Sasa kuna venye Claudia alikuwa ameanza kufeel Mathew chini ya maji lakini hakuwai mshow. Sasa kuna venye Mathew alikuwa anafeel Precious. Ilifika mahali wakaanza kuongelelea huyo boy wanalenga hiyo story. So Mathew akaanza kuchapiana na hao wote ndo akajua ni mabeshte lakini akaona kuna venye Precious amemnice sana. Akaanza kupush na Precious saa hiyo anachapiana na Claudia lakini yeye anachapiana na Claudia kama beshte tu juu Claudia hakuwai mshow anamlike.

Waliendelea kupush ikafika day flani hapo Claudia alikam akawapata wakipigana mate. Alijam ile mbaya akauliza wanadu nini?? Precious akauliza Claudia mbona anajam na Mathew ni chali yake. Hapo ndo alianza kusema vile anakuanga amefeel Mathew tangu amcheki. Wao walijitetea wakidai Claudia hajai sema. Precious akadai yeye na Mathew wako kimoja haezi muacha kama alikuwa anamdai angesema mapema alikuwa ashachelewa.

Saa hii vile naongea ivi hao madame wawili wanachukiana vibaya sana juu ya ufala. Claudia angesema mapema haingefikia iyo level ya kuchukiana.

very very verrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrryyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

ultra gayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Tombwa

I thought highschoolers wamerudi shule!

Wewe ndio Claudia ama precious

Saitan.
I hope mutu aibe internets zako.
Diep.

Hahahahahaha
hiyo lingua franca
[ATTACH=full]168999[/ATTACH]

[ATTACH=full]169017[/ATTACH]

:D:D:D

why is it any of our business

i expected a cat fight n some major evidence wakiraruana nguo (ofcoz wud hve sided with precious huyo claudia anasound ka hoe)

but above all we unakujia wapi hapa?

Mimi kuna madem wawili mmoja lightskin na mwingine darkskin. So kuna time darkskin aliambianga lightskin ati ananidai, then lightskin huwa anachapia beste yangu venye yeye pia amenidai na hataki darkskin ajue. So mimi kama fisi nimesema hizo pussy zote nagonga wakitaka wakosane shida yao

Na wewe pinkie akikushow anaku-like, unaweza ichukulia aje?

Wanzofu

Ata pombe imeshuka kidogo, ebu rudia hio story. Kulikuwa na claudia na… Matthew, na boy mwingi…

Good Samaritan.

:D:D:D

:D:D

Ni kama ameshikiwa gun atupatie hekaya