Pioneer EQ-6500 V2

[ATTACH=full]69367[/ATTACH]
For all those people who grew up in the 90’s, all the matatus that were worth their salt had this specific equalizer, the pioneer EQ-6500. The demand for it became so high such that kama matatu haina hiyo equaliser, haitoshi mboga. Too sad pioneer electronics discontinued its production, and we had to settle for other knockoffs like boschman.

But there is some GOOD NEWS! Pioneer are relaunching the equaliser as EQ-6500 V2 and are expected to hit kenyan markets early next year. And boy will they sell, it will be disrespectful to say you have a good stereo in your car without this equaliser. Mbisha hiyo ya pioneer executives launching it in Kenya

[ATTACH=full]69369[/ATTACH]

4 Likes

wewe ni agent?

1 Like

Any hints of the retail pricing?

No. Just excited with the news. Kama ulikuwa unapanda mat 90’s utatambua hii equaliser.

2 Likes

That was real stuff ubaya ni ma imbo zikitokea

That will be a real challenge for them.

So unajua bmann wamei imbo I remember selling one at a throw away Price only for it to pick up

mat za mahali nilikuwa 90s zilikuwa hilux pickup imewekwa hema na jamvi juu…

6 Likes

That equalizer EQ-6500 ina cost 20gs and mind you ni second hand. Pale Buru kichimbi sounds they have.

1 Like

Hizo ndio bei kila mahali. This thing ni zile vitu vintage and rare, so ukiwa nazo unaskia uko mbele sana. I doubt the new version will be that expensive.
[ATTACH=full]69388[/ATTACH]

2 Likes

http://www.pioneerelectronics.com/PUSA/Car/Accessories/AV-Components/EQ-6500
Kama hii ndio itakua bei, I doubt kama ita songa. At $265 na hauja weka hesabu za landing cost na VAT… Watakua na uphill task ya kutoa boschman kwa soko. Kenyans are price sensitive

Itakuwa na TOUCHscreen ya kutoa LYRICS poa?
And what’s your cut in this whole setup?

Hii ni bei umeona ni ya version 1, pia huko majuu iko na bei juu it was a hit also na its no longer in production. I expect itakuwa kitu 10k hapo, si mbali sana na zingine.

Sina cut, Eish!!! Ata sijui hao wahindi ni akina nani! Its just a discussion kwa forum. Umeona nikiambia watu wainunue? Ama sijui contacts? Kama wewe ni wa boschman, well and good. Sina shida

hehehe. difference ni tangible? coz i have hio boschmann mnasema ni imbo na iko tu sawa

Woofer mzuri ya gari pesa ngapi na hio equliser pesa ngapi?

Ati to hit next year? Scratch that, its already a hit. Zishaanza kutembea. Pic from Matatu Galore today

[ATTACH=full]69440[/ATTACH]

1 Like

@Touchlyrics hujanijibu?

@Touchlyrics jibu swali yangu

Honestly cant answer that for now because I have not sampled a car fixed with this new equaliser. But the hype will definately make your car legit. Expect kuulizwa ‘Bado unatumia boschman boss??’ hivi karibuni.

From what I know Woofer zinarange 8 mpaka 25, inategemea na mfuko yako. Hiyo equaliser hata sijaiona bado so ata bei siwezi jua.

Na nani aliwaambia naekanga gari mahewa? Im sure kuna mtu hii kijiji who is better placed to answer you. Saidia priss.

1 Like