If u think u can settle here or raise children here think again. Pipu ni ya wakamba porkos.
Ni hayo tu.
Niko lunch break. Chipo na nyama ndio form ya Leo. Chapati zilikua zimeisha na ugali is too dry / plain.
Line ya huduma number iko fupi lakini sina iyo time ya upuzi. Boss anangoja.
1776
2
Zimmermann is a slum not an estate.
Ndo maana @Panyaste anachukia watu kama wewe, mwanaume nis sembe unless squadi ya akina semenya na binyavanga, COMPRENDE
Zimmerman ya juu iko sawa
Ktalk watu ni mdomo tupu.
sijui ata uko ni wapi mimi
biraru
8
nataka ku learn boka kiasi…itakuaje:D:D
system
9
What are your other handles hia if I may kindly asketh?
hehehe, vile unacheka, hauko serious,
ni hiyo tu, shoste wa kush
wewe unajua gani ingine nijue kama niko hacked na shoka ama nina clone
They claim to be doing massage, but if you visist them you will realize they are not massage polours but sex brothels
1776
15
Madam there are no massage parlours in pipeline. Hiyo base haiwezi. Ni mastreet types.
We have more than 5 massage polours in pipeline I know them
chap
17
How did you come to know them and what were you looking for?
sakwa
18
pipeline ni kwa vijana bado wana hustle no families there as far as I know. kama unataka familia tafuta pesa uhame na uache kutupigia mdomo
This is a very stupid question, am a Kenyan hence entitled to visit any place that I feel like at any given time
Streets gani? Ni murram everywhere