Plastic ban is real

watu leo wameshikwa tao juu ya plastic bags…Nema hadi wanasimamisha mat kuzitafuta uko ndani…nimetoka supa mzae akaekewa maziwa na mkate kwa karatasi ya ile unga ya ndovu ati…ameiacha hapo akasema natuma mtoto abebe io
Mm nmeekewa kwa carton na niati unanunua unabebana nayo hadi kwako…

1 Like

Birrionea hapana tambua plastic bag bana. Skuma tutabeba na birkin bag

26 Likes

Wale wa thufu takeaway utakuwa unaekewa kwa sponge ukifika unasqueezia kwa kikombe

27 Likes

Wacha uongo. Nema says that the police have no authority to arrest anyone found with plastic papers.
They said they have a grace period during which mraia is allowed to use the papers as the right approved bags are brought into the market

10 Likes

Sasa tuanze bag shaming? Do you have problem with bags? :D:D

6 Likes

Meanwhile many are already jobless
[ATTACH=full]122680[/ATTACH]
[ATTACH=full]122681[/ATTACH]

1 Like

:D:D talkers will kill me

Unabeba madania, nyanya na sukuma zimekatwa kwa birkin. Mwizi akikuibia kibeti anaenda kupikia ugali kitoweo.

Siku moja mghels akienda kuwithdraw M-pesa anatoa ID alafu terere na maganda ya avocado inaanguka
:D:D #idienow

12 Likes

Hi story haileti shangwe. Ta imagini. akina @pampers saa hii hawa tafuti kitungu ingine! Bure kabisa.

Pia mimi nimaingia kwa butchery fulani nikasema ni fugiwe ya 150, ile kitu nimefungiwa nayo adi imekataa na nyama zingine ju nikijaribu kuzitoa nikuraruka inararuka

Mtu wa birkin hapa kuna biacara! My Brother @introvert I withdraw earlier comment.

2 Likes

Fake cops na kanjo wamejaa…kuna msee alilipa 2k ndo aachiliwe …some are just after money

3 Likes

rather slow. The other ones are after??

Mimi nishaupgrade…story za paper bag ata sitaki kuskia…ata hii imefunga mkate inafaa kuwa karatasi ya gazeti kama venye hiyo nyama imefungwa…
Kwanza niaje mjamaa anfunga nyama na obituaries…:eek::eek:
[ATTACH=full]122682[/ATTACH]

4 Likes

Si hizo vitu wanafuga nyama nazo ni selfish sana ju hizo nyama hazitaki kuiachilia

Jamaa akinunua mizinga ya kumezea kwa house anafungiwa na gazeti?

:D:D:D:eek:

tigai waana. Pale twira nimeona githeri man ako na paper bag brown. Wadau anikeni.

:D:D:D:D:D si you are carrying a carcass?

3 Likes

Nilijua ni ngori kuona jamaa amenunua chapo akafungiwa na bladder zile za noti.

5 Likes

He has already upgraded…
[ATTACH=full]122688[/ATTACH]

The muguka guys too…an air conditioned container[ATTACH=full]122689[/ATTACH]

7 Likes