Plastic paper bag Ban

sasa juu wameban hizi paper madem kukinyesha watavaaa nini kwa kichwa … helmet ama

Toyota vitz :D:D:p

Matawi za ndumaa ama ndizi

Helmet za mjengo ama za nduthi kwa wale wako na swag.

Bobby mapesa alisema

“hapana itisha mimi thao ya saloon, shika mbao unyoe kichwa safi kama baloon”

2 Likes

Nganzeti

Nganzeti??

Ukamba inanimalisa

1 Like

Kwani umbrella ni plastic