Plastic teeth

Kijana yangu wa 5 months amevimba kidogo apo kwa canines all four of them na Analialia sana, anajikuma sana and he is always uncomfortable, unaona tu uyu mtoto hayuko sawa. Nilijaribu kweda hospitari ( paediatrician) nikaambiwa akae ivo atakua sawa, alafu naambiwa na watu hizo ni plastic teeth na nafaa nimpeleke kwa mama mzee amtoe hizo vitu zimevimba. Anybody anajua uku kihusu hizi vitu? Ama anajua solution for this? .

Fuata maagizo ya daktari, wachawi, waganga Na daktari miti ni shamba wataharibia mtoto maisha.

Usisikize ujinga wa bonobo African traditionalists. Fuata maagizo ya daktari

Thank u

Thanks buana

Fuata daktari senior elder.

Do you have 32 teeth? If yes, when your last set of teeth was popping out,was it an uncomfortable feeling or did you remove them?

Hahaha sawa nimesikia mkubwa

So umeamua daktari ni kumbafu you are now considering taking your kid to a witch doctor!!! Ni sawa…

So any African with traditional medical knowledge ni witchdoctor,?meffi nyinyi

Mimi wangu pia alikua ivo na iyo time tulikua ushago.nakumbuka tulizunguka hosy tukipewa madawa Kama shit lakini no improvement. Nakumbuka madhe alinawa mkono akaanza kusugua gums za mtoi polepole for like 10min.iyo siku tulilala cz mtoi pia alilala.he is now a grown man

hawa mbwa anything African ni uchawi

aki

It’s a bad notion

Buy dentinox or Ashton sugulia pole pole kwa gums be gentle usisugue Kama venye unasugua miguu yako .

What about bonjela cream

Ebu kwanza niambieni, dawa ya sensitive teeth ?

Nunua sensodyne mkubwa

Asians listen to their traditional doctors but Africans are not allowed to?? Yani we take traditional Japanese medicine like Artemesin to treat malaria yet discard all our African medicine? Long before conventional medicine was legalised Africa used to treat its ailments. In the 18th & 19th century Maasai had even medicine for Anthrax which were discarded in favour of "taking people to hospital"and “not eating infected animals” Today, the world has no antidote for Anthrax but had we leveraged on our traditional medicine we would have set up a robust pharmaceutical industry.

I honestly believe talkers are amongst the most stupid people in Kenya. Wisdom does not reside in Ktalk. Of course with the exception of a few people like @Motokubwa

Most kids in Nairobi die due to plastic teeth, Magadi ndio dawa yake…sugua like 4 days meno itajitoa