PlayStation 5

[ATTACH=full]264210[/ATTACH]

PS4. zishuke bei sasa

Fifa 20 price pia ishuke hadi 3k

Fake news

Niaje Uwes, kale ka PS 3 kaki with dusty pads mbona hukapost nowadays?

Utatafuta ps4 wakati ps5 imetoka?

sindio kwani…ama unataka kununua ps5 ikiwa 80k??

Unlike wewe mi huuza my old electronics i got a ps4 pro in2016 at 50k na niliuuza this year at 35k before price drops. Nitangojea hadi next year with my 35k and by then nitakuwa na 60k for the ps5. Then sell to peasants kama wewe ps6 ikija, ama by then nitakuwa na watoi niwapatie

Mimi Niko mpaka na gameboy yangu kwa store