Please enter a valid title

Ching Cheng

Village Elder
#1
Screenshot_2017-09-09-11-22-10.png
Early last year i received a text as such and i was really excited. As usual niliambiwa nitumie simu ingne ndo wanieleze jinsi ya kupata izo pesa. 15k zangu zilikunywa maji,sitawai sahau. Jana tena nmetumiwa hii text. Just looked at it and grinned nikaendelea na shuguli zangu. Once bitten. The only way mtu anaeza niibia maybe ni through violence. I will neffa effa be manipulated again.
ION RWNBP
 
screwplus

Village Elder
#5
View attachment 124950

giphy (3).gif
Umeambiwa Dont Pay Anything na bado ulilipa 15k?
Wajing ndo waliwao..did i say it right
 
Last edited:
#13
U neva know when u are paying. Kuna digits wanakupea unadial alafu messages za mpesa zinakuwa blocked without your conscient . Then they tell u to go to withdraw with ATM blah blah blah. Yeah i was naïve then. I learnt my lesson though.
 
#14
1. Bought an Orange line+Modem pale Orange Hq behind G.P.O
2. Few weeks later nikabuy credo ya hio line @ Orange shop pale Sarit Center but was served buy a rough looking young man.
3. Few weeks later nikaanza kupata such texts. Kumbe huyo fala wa Sarit sells your info to thugs.
4. Nilirudi huko G.P.O na lawyer & a hired cop ikabidi they produce huyo kijana na tukaenda na yeye Central Police Stn. kumfinya makende !!
 
#15
View attachment 124950
Early last year i received a text as such and i was really excited. As usual niliambiwa nitumie simu ingne ndo wanieleze jinsi ya kupata izo pesa. 15k zangu zilikunywa maji,sitawai sahau. Jana tena nmetumiwa hii text. Just looked at it and grinned nikaendelea na shuguli zangu. Once bitten. The only way mtu anaeza niibia maybe ni through violence. I will neffa effa be manipulated again.
ION RWNBP
Probably you never participated in the promotion!
 
grandpa

Village Elder
#16
1. Bought an Orange line+Modem pale Orange Hq behind G.P.O
2. Few weeks later nikabuy credo ya hio line @ Orange shop pale Sarit Center but was served buy a rough looking young man.
3. Few weeks later nikaanza kupata such texts. Kumbe huyo fala wa Sarit sells your info to thugs.
4. Nilirudi huko G.P.O na lawyer & a hired cop ikabidi they produce huyo kijana na tukaenda na yeye Central Police Stn. kumfinya makende !!
What happened to the thug?
 
#17
What happened to the thug?
Huko station alifinywa mkwangalas hadi akasema the crew he works with and police wakasema watafanya uchunguzi. Since I'd `hired´ the cop sikuandikisha OB nikawachia hapo.
A guy from Orange H.R Dept pia alisema they will start disciplinary action against the employee but nashuku alifutwa eventually.
 
#18

Mwache atafute unga jameni Nairobi ni shamba LA mawe.

Hakuna diff ya huyu na wale wa paybill # ya ticket ya canaan
 
Top