Naweza OSHA haga Aje? Ju nikiosha haha bado inanuka. Nimetumia jik , beer , LifeBuoy soap , Colgate , jivu , makojoo YA paka lakini wapi. Nisaidie