Habari wanakijiji
Nimepata problem wakati nataka kudownload content kutoka kwa youtube napata message ya FAILED…FORBIDDEN,natumia Torch browser
MSAADA WANAKIJIJI
Torch ndio nini sasa? sisi apan tambua low class browsers
Please help,au nipe browser ambayo ina media grabber
Hakikisha umeakisha hiyo torch ,dugu
Why don’t you just download ‘normal’ porn like your fellow teenagers.
Download snaptube kwa iyo browser yako then download content yote ya youtube hapo
Snaptube iko sawa
snaptube mambo yote hadi 8K[ATTACH=full]192077[/ATTACH]
Ama download Youtube downloader, ucheze kama peasants wenzako
huku hakuna usaidizi,usijisumbue sana
Ata IDM utajisaidia nayo
There very many options; IDM, youtube downloader, savefromnet,keepvid,etc.
thanks all
Free download manager(FDM)
copy the video link and paste it here https://www.onlinevideoconverter.com/video-converter , download to the formats you want.
Keepvid