Poa Internet

Nani amejaribu hii kitu

[ATTACH=full]127615[/ATTACH]

Watching.

Wanafika mashambani?

nilipata flyer kwa nyumba. Yet to try

Nimeona wako kibera na kawangware so far.
Nataka internet thika, its taking forever kufika

thika wapi…? contact saf wana weka net na ni 2500 per month with free installation plus free router

Sisi tunatumia Mawingu WI-FI apa Nkubu Meru

Buda niko meru tembeanga tushike kachupa

Poa Wayia.Ntasaka time nikuom

Ngoingwa area. Hapo watakuwa wamesaidia sana

na juja umeskia ama ruiru?

Bado. Hata thika hawajafika. I called them

@dude are they now in Ngoingwa?

Not really
Niliona wakichimba hapo bluepost