Pole Mwigulu lakini....

…in a way ulipaswa kuyategemea yanayokutokea sasa. And I don’t mean kupoteza cheo - Kitwanga hata nae aliondolewa kwenye nafasi uliyokuwa nayo hadi majuzi lakini tofauti na wewe yeye hatukanwi kama unavyotukanwa wewe. Sikuwahi kuona watu wakishangilia mtu kutolewa madarakani kama walivyoshangilia ulivyotolewa wewe - na nina umri mkubwa tu wa wewe kuwa mdogo wangu wa tano kwa maana hiyo nimeona mara nyingi tu watu wakitolewa madarakani.

Kama kuna watu wanaofurahi kwa wewe kuondolewa madarakani ni wasaidizi wako ambao naambiwa ulikuwa unawanyanyasa hadi kulazimisha wakupe fedha!

Inabidi utubu tu sasa jamaa yetu; otherwise you’ll live with those demons the rest of your life.

[SIZE=5][FONT=times new roman]Duh…mbna makubwa alikuwa anawaomba pesa wasaidiza wake kwaajili ya nn labda?[/FONT][/SIZE]

Sio kuomba; ni kulazimisha apewe unaambiwa

mwigulu huyu huyu hahahaa ehee alafu ikaweje!..

Ukistaajabu ya jiwe utaona ya Mwigulu

Savimbi ni shetani hawezi kulitambua hilo atateseka sana

wajifunze cheo ni dhamana, uhuni aliomfanyia rwakatale malipo yake ni hapahapa na bado.

Huyu laana ya aliowatusi, aliowasingizia, aliowapoteza, aliowaua, aliowanyima haki zao etc etc etc (countless) itamtafuna mpaka kaburini

Tena kweli bwana umekumbusha jambo muhimu sana.

Kweli kabisa Mkuu. Baadhi ya binadamu ni wa ajabu sana hawamuogopi Mwenyezi Mungu kabisa huweza kusema uongo wa hali ya juu ili kuharibu maisha ya binadamu wenzao pamoja na kujua wakisemacho ni uongo mtupu.

soma hiyo
https://www.jamiiforums.com/threads/mwigulu-nchemba-tupe-kauli-yako-baada-ya-mahakama-kumfutia-rwakatale-kesi-ya-ugaidi.453061/

https://www.youtube.com/watch?v=CZX1EcT1CFE

[emoji141]

https://www.youtube.com/watch?v=vHKPC3PIKp8

Aiseee,haya bhana.

Kila lililo na mwanzo halikosi mwisho…

Cc: @Mahondaw