Posterior za Local ni ngori kuliko za Majuu

#1
Am actually glad that Kenya is finally supporting its own.
This is actually the infancy stage of our own sound. Its the second time we are trying to develop pure Kenyan content , the first time ilikuwa akina Ogopa Deejays na Calif Records. Hopefully this time tuta embrace na tu support kwa sababu unlike tene sai kuna avenues mob sana za kupush wasanii.

To the conservative minds,najua mko worried sana due to the increased number of posteriors & tabia mwitu zinakuwa displayed kwa hizo vida lakini tuache kupretend juu ngoma za majuu madem hukua na ma Gstring na zinatunice, hapa Kenya ile extreme nimeona kwa hizo vida ni ma booty shot tu, ama mnadai kusema posterior za majuu ni ngori kuliko za hapa local??:cool:

Bado tuko experimental stage so tusikue worried sana juu ya content coz niko sure kuna very many talented acts wanakuwa inspired na whatever is happening in the industry and in a very short while utaanza kuskia hizo ngoma unataka.
#Homemade #SupportLocalContent
 

Attachments


Invite a friend to join kenyatalk
Top