Poverty Is A choice. Ukitaka Kuwa Na Pesa Unaeza Pata Pesa.

That has always been my motto since the day I entered Form One in Feb 1994. In Form One singeweza biz ya kuuza Maquartter za mikate coz of being bullied but as from form 2 I started making money from selling bread, Biscuits and postage stamps all throuh High School I used to loan fellow students money from 5 bob all the way to 250 bob. After high school I worked in a Posho mill in our village the whole of 1998 and while there I started buying dry maize and selling it sometimes milling it and selling it as Unga in 1999 I bought a used Lister 2 cylinder diesel engine and a used poshomill and I became my own boss about 2 years after leaving High School. I paid my college fees at RVIST Nakuru in the year 2000 and started a Diploma in Electrical Engineering (Power) using the proceeds of the poshomill with the help of 1 employee. The rest is history. 2001 April bought my first Car 1996 Nissan Sunny.

Here on Klist I write stuff to rub people the wrong way just for kicks, about low IQ negros its mostly jokes but Africans are generally workhorses with poor intelligence.

Ukitaka pesa utapata pesa hata Kenya ya leo, you just need to be focused. Stop complaining eti Kenya kuna cartels, Become the Cartel yourself, kwani hao cartels wako na Makende tatu tatu?

  1. Be assertive
  2. Try try try again.

Very true. To be successful in life, you only require focus and discipline.

maneno sasa hivi iko vpi? uko kwa biashara gani? vijana wajitume. iwe ivi ama iwe vile haijalishi. mwanaume ni kujituma

Passed through a lot of sh!t in my life. Right now ni Electrical hardware sales.

Danganya bonobo wenzako. Unafanya kupiga biashara ikae rahasi sana… Its not.
Umeiba hii sales speech wapi?

Inaitwa Sales Speech ama Sales pitch? Endelea kuwa na hiyo mentality yako ya Sio Rahisi. NOTHING IS EASY EVEN PROSTITUTES HAVE TO THINK HARD YET MALI YAO IKO MOTO SAA ZOTE.

Who said Biashara is easy? when I say I have passed through sh!t know its not easy. there was a time in the year 2000 wezi walivunja hiyo poshomill store wakaiba Drum ilikuwa na liter 105 za diesel. Set me back a great deal but I didn’t give up. Life is Hard my friend

Why don’t you expound on that? Tell us how unaweza pata pesa, leta paragraphs, diagrams, charts, thermal image et al.
Tell us more, we are waiting…

This was just plain garbage, filth.

Maskini akishanunua posho mill hatuwezi pumua.

Bila capital huwezi fanya kitu niko na plenty business ideas but pesa ya kuanza sina

That was 1999. My stepping stone and I never feel ashamed talking about it. That used Lister engine made me what I am today. Leo hii mambo ni different kwa ground. Hesabu ziko na sufuri nyingi.

Tupatie ujanja askofu

Mimi husema mtu anasema hakuna kazi alafu analala njaa. Yeye ni very lazy and stupid. Shida ya watu wengi wanasema mimi siwezi kuwa security, hawker ama waiter ati nione kane na watu nikama class dropout alafu the same person anakuja kuomba pesa ndio a survive meffi hao. Mimi siwezi sympathize na watu kama hao and i will never give a fucck

Hapo sawa omwami. Vile wakuu hapo juu wamesema, tupe hekaya furi furi

Good stuff Afrikan with jungle software, that’s commendable of you

Mr. Bonobo stop avoiding my Question. Ama you’ve chickened out.
Speech za kushow maboys waamke wahustle tumeskia a million times.

why then recycle the same garbage we tired of hearing. Atleast i expected your motivation speech to beat kirubis…
With your high iq & sheit.

Boss kuna plastics,chupa,chuma zinalala barabarani na zote ni pesa. People are just damn lazy thats all. Sio mambo na capital hakuna. Watu wamelima kando ya mto na wanauza mazao hata kama ziko na P2 but you get my point

The mind that has consistently penned articles attacking we “Bonobos” appears very well read and traveled. That posho mill story is a red herring.

Rather, the picture of Ndindu I have in my mind is of someone crunching away at a computer terminal in down town Nairobi while hustling for tenders and manipulating the IFMIS system.

We know how posho millers talk and write. Ndindu is not a posho miller

For once i agree with you @Ndindu . Fekcers are plain lazy kwanza wa nairobi atleast ushago huwezi kufa njaa. I remember one day nikisaka job niliget ile ya kuzururisha thermos na hotpot niliona ikiwa wanaa sana nikarudi home, but nikaimajin ningeweka ka bidii tu kiasi ningekua labda punch richer that day but uvivu nayo…

You don’t say, tell us mr entrepreneur umeuza plastics ngapi, chupa ngapi ama chuma ngapi? Na umeuzia nani?
Unajua kushika jembe mr. Game house operator?
Another blind bonobo, unaishi kenya gani wewe? The question here is not whether people are lazy or not. Issue
Ni vyenye mnafanya ikae rahisi kukafunga… Its not. At all.

Today’s generation & I mean most kids born after 1990 are just plain lazy. TV saa zote ama smartphone wakicheza sijui games. There are a million videos on youtube about Cottage Industries in Inidia, China, Indonesia. Just watch some and duplicate what you see. Saw a guy making very nice earrings from coca cola aluminium cans na funiko za Johnny Walker. One pair of earings anauza 5 USD na mkidi yuko Arizona USA. Tools zake? Tailor’s Scissors, pliers na beads na mikebe kutoka kwa takataka.
[ATTACH=full]277027[/ATTACH] [ATTACH=full]277028[/ATTACH] [ATTACH=full]277029[/ATTACH]