prediction kings sunday games

vepe wazito…drop your prediction

leo najuwa hii game ya crystal palace watu watawekelea liverpool lakini iyo chapa itakunywa maji
team to bet ni crystal palace :smiley:

na man u bet win (single bets ma double chance wachiya wale wasee huenda kwa lanye kupewa BJ na cd… :smiley:

2 Likes

Hiyo nawekelea Liverpool. Form ya Liver mambo mbaya. Unless red itambe, situpi pesa yangu na Crystal unpredictable…

1 Like

hawa wasee ni noma wakiwa nyumbani…lakini game iki isha utanishow tommy u were right :smiley:

jana @123tokambio siwezi complain… niliwai bets za EPL kama tano :slight_smile: single bets

1 Like

Barcelona ? Juve? AC Milan?

2 Likes

Dinamo Zagreb, beroe stara, Liverpool, inter Milan, Lyon, mainz, juventus, AZ alkamaar, Ajax, rapid Vienna, viktoria plzen, real sociedad, all wins

1 Like

wewe ndio unajua, premier league achia watu hukula lanye bila then wanachapa cold shower

1 Like

Hiyo no high risk

[ATTACH=full]33052[/ATTACH]
cheki kijana kujiamini :smiley: :smiley: haha izi bet mtu humiss one game tu

@123tokambio cheki ile chapa nalipa rent pale inatoka

1 Like

haha ata wewe umejoin…usiwekelee pesa ya maternity

2 Likes

waaah dat Cold dude …hujamshow poa

1 Like

Haha maternity ni mzee analipa , mimi nawekelea za qutex na lipstick

2 Likes

Kumbe @Tommy Lee Sparta ushaingia multibets? Hehehe…
But ukweli Ni, if you go with less than 5 Si hard to win. Then unaekelea between 200-500. Unakula msuri Na unanunua ka whisky ka kucelebrate.

kuna siri ingine nimejuwa kaka
unecheki match ziko na odds za 1.1 and below
chukuwa muti bets on like 10 matches…usichukuwe higher than 1.1
izo oddz zitakuja like 9.5

then wekelea 500ksh unapataa 4750

kama wewe ni gambler kama tommy unaweka thao na unakazaa rasa game ata moja wasiende draw…

unapataa 9500 zako

watu wa liverpool mumepewa pena ya bure lucky ninjaz :smiley:

1 Like

Hehehehe… Watu wa crystal mliondolewa mtu mmoja ndio mtoboe mkalalia maskio, ref akajam nanyi. Kuleni ujeuri wenu…:D:D

Hio pia Ni njaro mzuri lakini chungana Na team za England, Italy Na Portugal…Na zile ziko away

1 Like

ama pia use the same style of betting lakini chapa double chance …the team with the smallest odd unaweka pamoja na draw…now for this to work you need 20 matches ndio upate atleast odds za 10. ama 12.5

so betting unafanya mapema …time poa ni saa sita za usiku…unachambua vizuri na kalamu na karatasi …after betting wekelea thao roho juu

and wait hadi jioni salo :smiley: any team with odd ya 1.2 avoid kama pleague …tumia 1.1 and below…kwanza ukipata 0.9 ama 1 chukuwa mbio mbio iyo :smiley: lazima tubuy land na hii chapa ya betting

unacheki man u vile imefanya gamblers ilose chapa…

useless team :smiley:

leo tumelose hii game

Hehehe…
Pole kaka.
Game ya Valencia vs ATM unaekeza pande gani?

after loss ya leo…nitatulia hadi kesho

lakini Valencia haitaweza hii game

cheki [ATTACH=full]33068[/ATTACH]