Ka tududu tukiongozwa na Demio zinaschezea 1.1M saa ii its better to buy a locally used car ju bei zinakuwaquoted ni outrageous to say the least. Alphard saa ii inachezea 3.5M+
hio gari ukiona list ya features wamekosa vitu za kuweka mpaka wanaweka radio antenna
haina features kabisa
hata dirisha za nyuma ni za kuzugushwa na mkono
Africans joke too much lakini wacha wajinga wanyoroshwe mpaka wamee akili. Kuna siku nilisema baadala ya kununua premio at 1.8m MTU ajishikie a locally used Lexus RX ama forester SH for 1.2m halafu utumie kitu 200k kuisimamisha to near showroom condition but I was laughed out of town. Ona sasa.