Presidaa usiishie tu Wizara ya ndani,,,bado SUMATRA

Kwa upeo wangu hawa Sumatra wanakula kodi zetu tu na wao ndio wazibiti wa usafiri ,sasa adhabu aliyopata migulu nataka na mkurugenzi wa Sumatra nae awe Next

Japo alitaja sababu za kumtumbua Mwigulu ila kuna ipo sababu maalum iliyomfanya amtoe.

Ip hiyo? Embu dadavua

uneona eee, anatutajia sababu za kishamba anafikiri sisi watoto wadogo

Kwa nini aliyetumbuliwa na Mwigulu karudishwa kazini na kuongezewa ulinzi mkubwa…

Ndio hivyo bana anadhani hatuwezi kujua

unajua sometime anatufananishaga na wale wa kwao (chartle vileji)

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:Dmbavu zangu:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

cheko lako hilo

Teh! Eti sababu za kishamba.

You are right mkuu, kuna vichwa vilikua vinatakiwa miongoni mwao ni huyo waziri na hao makamanda mengine ni mbwembwe tu

La kimakinikia hasaaa

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw