Price of Miraa - Bei ya Miraa

Kata - 150
Kangeta/solba - 500-800
Kissa - 1,500
etc., etc.

[ATTACH=full]248009[/ATTACH]

[SIZE=1]Source: https://twitter . com/Kinara45/status/1050749075333832704[/SIZE]

Hii veve yako ni chakas Ni Kama kukula shrub Chieth
[ATTACH=full]248014[/ATTACH]

But the veve is a shrub…

Hii ndio veve inakukata mdomo unabaki na injuries asubuhi mpaka hauwezi kula

Can’t believe khat has reached such amounts, zama zile we used to purchase a kilo and 250, or 500 depending on season, hell I’ve even purchased a kilo at 150…
Siku hizi starehe ni expensive sana since every punk started chewing…

Tulihamia muguka na Kasenge, veve ni ya mafala wanaotaka kukuliwo pesa na hata handas haina.

Hii ni ile veve inaitangwa “Safaricom” juu ya vile iko green na haina handas.

chakras

@ApanTambua hii uchafu katupee mbali. Hapana tambua kangeta Mimi ni Mtu alele ama asili.

Wewe mungiki ni bangi unajua tu. Sharaaap

Mūnyumba wachana na Mimi ni Kam mosmos.

Upus.