The company bought a Kyocera ecosys m4125idn printer. Nimetry to print in color but inaleta black and white. Calling the MFI company that deals in it wananimabia inaprint in color, calling Shopit wananiambia iyo haiwezi print color. Kuna Kyocera zile ndogo kwa ofisi zinaprint color but ii sijui. Kuna mtu anaeza clear for me?